Danieli 7:16 BHN

16 Nilimkaribia mmojawapo wa wale waliosimama huko na kumwuliza maana halisi ya mambo hayo yote. Naye akanisimulia na kunieleza maana yake:

Kusoma sura kamili Danieli 7

Mtazamo Danieli 7:16 katika mazingira