Danieli 7:4 BHN

4 Mnyama wa kwanza alikuwa kama simba, na alikuwa na mabawa kama ya tai. Nikiwa namwangalia, mabawa yake yalingolewa, naye akainuliwa na kusimama kwa miguu miwili kama binadamu. Kisha, akapewa akili ya binadamu.

Kusoma sura kamili Danieli 7

Mtazamo Danieli 7:4 katika mazingira