Danieli 7:6 BHN

6 “Baada ya hayo, nilimwona mnyama mwingine. Huyu alikuwa kama chui mwenye mabawa manne ya ndege mgongoni mwake. Alikuwa na vichwa vinne na alipewa mamlaka.

Kusoma sura kamili Danieli 7

Mtazamo Danieli 7:6 katika mazingira