Danieli 8:17 BHN

17 Gabrieli akaja karibu na mahali niliposimama. Mimi nikaogopa sana, hata nikaanguka kifudifudi. Lakini akaniambia, ‘Wewe mtu, elewa kwamba maono uliyoyaona yanahusu wakati wa mwisho.’

Kusoma sura kamili Danieli 8

Mtazamo Danieli 8:17 katika mazingira