22 Ile pembe iliyovunjika na badala yake zikaota pembe nne, ina maana kwamba ufalme huo mmoja utagawanyika kuwa falme nne, lakini falme hizo hazitakuwa na nguvu kama ule ufalme wa kwanza.
Kusoma sura kamili Danieli 8
Mtazamo Danieli 8:22 katika mazingira