Danieli 8:27 BHN

27 “Mimi Danieli, nikazimia na kuugua kwa muda. Nilipopona, nikaendelea na shughuli za mfalme. Lakini yale maono yalinistaajabisha, nami sikuweza kuyaelewa.

Kusoma sura kamili Danieli 8

Mtazamo Danieli 8:27 katika mazingira