Danieli 8:9 BHN

9 “Katika mojawapo ya pembe hizo nne, paliota upembe mwingine mdogo, ukakua sana kuelekea upande wa kusini-mashariki, na kuelekea nchi ile nzuri mno.

Kusoma sura kamili Danieli 8

Mtazamo Danieli 8:9 katika mazingira