Hagai 2:10 BHN

10 Mnamo siku ya ishirini na nne ya mwezi wa tisa, katika mwaka wa pili wa utawala wa Dario, neno la Mwenyezi-Mungu wa majeshi lilimjia nabii Hagai,

Kusoma sura kamili Hagai 2

Mtazamo Hagai 2:10 katika mazingira