Hagai 2:22 BHN

22 kuangusha falme na kukomesha nguvu zao. Nitayapindua magari yao ya farasi na wapandafarasi wake, nao wataanguka na kuuana wao kwa wao.

Kusoma sura kamili Hagai 2

Mtazamo Hagai 2:22 katika mazingira