Hagai 2:5 BHN

5 Mlipotoka Misri niliwaahidi kwamba daima nitakuwa pamoja nanyi. Basi, ningali pamoja nanyi, kwa hiyo, msiogope kitu.

Kusoma sura kamili Hagai 2

Mtazamo Hagai 2:5 katika mazingira