Hagai 2:7 BHN

7 Nitayatikisa mataifa yote na hazina zao zote zitaletwa humu, nami nitalifanya hekalu hili kuwa la fahari. Mimi nimesema.

Kusoma sura kamili Hagai 2

Mtazamo Hagai 2:7 katika mazingira