Malaki 1:7 BHN

7 Mwanidharau kwa kunitolea madhabahuni pangu tambiko ya chakula najisi. Lakini nyinyi mnauliza, ‘Tumekitiaje najisi?’ Mnakitia najisi kwa kuidharau madhabahu yangu.

Kusoma sura kamili Malaki 1

Mtazamo Malaki 1:7 katika mazingira