Malaki 2:12 BHN

12 Mwenyezi-Mungu na awaondolee mbali watu wanaofanya mambo hayo kutoka miongoni mwa wazawa wa Yakobo. Na kamwe wasishiriki katika kutoa ushuhuda na kuleta tambiko mbele ya Mwenyezi-Mungu wa majeshi.

Kusoma sura kamili Malaki 2

Mtazamo Malaki 2:12 katika mazingira