Malaki 2:3 BHN

3 Tazama, nitawaadhibu watoto wenu na nyinyi wenyewe kutokana na uovu wenu, na kuzipaka nyuso zenu mavi ya wanyama wenu wa tambiko. Nitawafukuza mbali nami.

Kusoma sura kamili Malaki 2

Mtazamo Malaki 2:3 katika mazingira