11 Wadudu waharibifu nitawakemea wasiyaharibu tena mazao yenu. Mizabibu yenu mashambani haitaacha kuzaa matunda. Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nimesema.
Kusoma sura kamili Malaki 3
Mtazamo Malaki 3:11 katika mazingira