Malaki 3:8 BHN

8 Je, ni sawa mtu kumdanganya Mungu? La! Lakini nyinyi mnanidanganya! Walakini nyinyi mwauliza: ‘Tunakudanganya kwa namna gani?’ Naam! Mnanidanganya kuhusu zaka na tambiko zenu.

Kusoma sura kamili Malaki 3

Mtazamo Malaki 3:8 katika mazingira