5 “Kama wezi au wanyang'anyi wangekujia usiku,je, wasingechukua tu kiasi cha kuwatosha?Ikiwa wavunaji zabibu wangekujia,je, wasingekuachia kiasi kidogo tu?Lakini wewe, adui zako wamekuangamiza kabisa.
Kusoma sura kamili Obadia 1
Mtazamo Obadia 1:5 katika mazingira