Ruthu 1:1 BHN

1 Hapo zamani, wakati waamuzi walipokuwa wanatawala Israeli, palitokea njaa nchini humo. Mtu mmoja kutoka Bethlehemu katika Yuda pamoja na mkewe na watoto wao wa kiume wawili walikwenda kuishi kwa muda nchini Moabu ili kuishi kama wageni.

Kusoma sura kamili Ruthu 1

Mtazamo Ruthu 1:1 katika mazingira