Ruthu 1:13 BHN

13 je, mngeweza kungoja mpaka wakue? Je, mngeweza kujizuia msiolewe na waume wengine? Sivyo, binti zangu! Mambo yangu ni magumu mno kwa ajili yenu, maana Mwenyezi-Mungu amenipiga kipigo.”

Kusoma sura kamili Ruthu 1

Mtazamo Ruthu 1:13 katika mazingira