Ruthu 1:19 BHN

19 Ndipo wote wawili wakaendelea na safari hadi Bethlehemu. Walipofika huko, watu wote walishangaa, hata wanawake wakaulizana, “Je, huyu ni Naomi?”

Kusoma sura kamili Ruthu 1

Mtazamo Ruthu 1:19 katika mazingira