6 Baadaye, Naomi alipata habari kwamba Mwenyezi-Mungu alikuwa amewabariki watu wake kwa kuwapa chakula. Basi, akaondoka kutoka Moabu kurudi kwao pamoja na wakwe zake.
Kusoma sura kamili Ruthu 1
Mtazamo Ruthu 1:6 katika mazingira