Ruthu 1:8 BHN

8 Naye Naomi akawaambia hao wakwe zake wawili, “Rudini kila mmoja nyumbani kwa mama yake. Naomba Mwenyezi-Mungu awe mwema kwenu kama mlivyokuwa wema kwangu na kwa wale watu wangu waliofariki.

Kusoma sura kamili Ruthu 1

Mtazamo Ruthu 1:8 katika mazingira