Ruthu 2:10 BHN

10 Hapo Ruthu akamwinamia Boazi mpaka chini kwa unyenyekevu, akamwambia, “Nimepataje kibali chako? Mbona unanihurumia na hali mimi ni mgeni tu?”

Kusoma sura kamili Ruthu 2

Mtazamo Ruthu 2:10 katika mazingira