18 Kisha akachukua mavuno hayo hadi mjini na kumwonesha mama mkwe wake kiasi alichookota. Pia alikitoa kile chakula alichobakiza baada ya kushiba, akampa.
Kusoma sura kamili Ruthu 2
Mtazamo Ruthu 2:18 katika mazingira