3 Basi Ruthu akaenda shambani, akawafuata wavunaji huku anayaokota masuke waliyoyaacha. Na kumbe akajikuta katika shamba la Boazi, yule wa ukoo wake Elimeleki.
Kusoma sura kamili Ruthu 2
Mtazamo Ruthu 2:3 katika mazingira