Ruthu 3:13 BHN

13 Kwa hiyo, kaa hapa usiku wote, na kesho asubuhi tutaona kama atakubali kukutunza au la. Ikiwa atakutunza ni vyema. Akikataa, kwa jina la Mwenyezi-Mungu aliye hai mimi nitakutunza. Lala hapa mpaka asubuhi.”

Kusoma sura kamili Ruthu 3

Mtazamo Ruthu 3:13 katika mazingira