Ruthu 3:9 BHN

9 Akauliza, “Wewe ni nani?” Ruthu akajibu, “Ni mimi Ruthu, mtumishi wako. Kwa kuwa wewe u jamaa yangu wa karibu, uitande nguo yako juu ya mjakazi wako.”

Kusoma sura kamili Ruthu 3

Mtazamo Ruthu 3:9 katika mazingira