17 Wanawake majirani walimwita mtoto huyo Obedi wakisema, “Mtoto amezaliwa kwa Naomi.” Hatimaye Obedi akamzaa Yese aliyemzaa Daudi.
Kusoma sura kamili Ruthu 4
Mtazamo Ruthu 4:17 katika mazingira