Wimbo Ulio Bora 3:10 BHN

10 Nguzo zake zilitengenezwa kwa fedha;mgongo wake kwa dhahabu;mahali pa kukalia pamefunikwa vitambaa vya zambarau,walichoshona kwa upendo wanawake wa Yerusalemu,waliokishonea alama za upendo.

Kusoma sura kamili Wimbo Ulio Bora 3

Mtazamo Wimbo Ulio Bora 3:10 katika mazingira