Wimbo Ulio Bora 5:13 BHN

13 Mashavu yake ni kama matuta ya rihanikama bustani iliyojaa manukato na manemane.Midomo yake ni kama yungiyungi,imelowa manemane kwa wingi.

Kusoma sura kamili Wimbo Ulio Bora 5

Mtazamo Wimbo Ulio Bora 5:13 katika mazingira