Wimbo Ulio Bora 7:4 BHN

4 Shingo yako ni kama mnara wa pembe za ndovu;macho yako ni kama vidimbwi mjini Heshboni,karibu na mlango wa Beth-rabi.Pua yako ni kama mnara wa Lebanoni,ambao unauelekea mji wa Damasko.

Kusoma sura kamili Wimbo Ulio Bora 7

Mtazamo Wimbo Ulio Bora 7:4 katika mazingira