Wimbo Ulio Bora 8:11 BHN

11 Solomoni alikuwa ana shamba la mizabibu,mahali paitwapo Baal-hamoni.Alilikodisha kwa walinzi;kila mmoja wao alilipa vipande elfu vya fedha.

Kusoma sura kamili Wimbo Ulio Bora 8

Mtazamo Wimbo Ulio Bora 8:11 katika mazingira