Wimbo Ulio Bora 8:5 BHN

5 Ni nani huyu ajaye kutoka mbugani,huku anamwegemea mpenzi wake?Chini ya mtofaa, mimi nilikuamsha,pale ambapo mama yako aliona uchungu,naam, pale ambapo mama yako alikuzaa.

Kusoma sura kamili Wimbo Ulio Bora 8

Mtazamo Wimbo Ulio Bora 8:5 katika mazingira