Wimbo Ulio Bora 8:7 BHN

7 Maji mengi hayawezi kamwe kulizima,mafuriko hayawezi kulizamisha.Mtu akijaribu kununua pendo,akalitolea mali yake yote,atakachopata ni dharau tupu.

Kusoma sura kamili Wimbo Ulio Bora 8

Mtazamo Wimbo Ulio Bora 8:7 katika mazingira