1 Pet. 2:12 SUV

12 Mwe na mwenendo mzuri kati ya Mataifa, ili, iwapo huwasingizia kuwa watenda mabaya, wayatazamapo matendo yenu mazuri, wamtukuze Mungu siku ya kujiliwa.

Kusoma sura kamili 1 Pet. 2

Mtazamo 1 Pet. 2:12 katika mazingira