1 Pet. 2:20 SUV

20 Kwa maana ni sifa gani kustahimili, mtendapo dhambi na kupigwa makofi? Lakini kustahimili, mtendapo mema na kupata mateso, huu ndio wema hasa mbele za Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Pet. 2

Mtazamo 1 Pet. 2:20 katika mazingira