1 Pet. 2:9 SUV

9 Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu;

Kusoma sura kamili 1 Pet. 2

Mtazamo 1 Pet. 2:9 katika mazingira