18 Kwa maana Kristo naye aliteswa mara moja kwa ajili ya dhambi, mwenye haki kwa ajili yao wasio haki, ili atulete kwa Mungu; mwili wake akauawa, bali roho yake akahuishwa,
Kusoma sura kamili 1 Pet. 3
Mtazamo 1 Pet. 3:18 katika mazingira