1 Pet. 3:20 SUV

20 watu wasiotii hapo zamani, uvumilivu wa Mungu ulipokuwa ukingoja, siku za Nuhu, safina ilipokuwa ikitengenezwa; ambamo ndani yake wachache, yaani, watu wanane, waliokoka kwa maji.

Kusoma sura kamili 1 Pet. 3

Mtazamo 1 Pet. 3:20 katika mazingira