7 Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.
Kusoma sura kamili 1 Pet. 3
Mtazamo 1 Pet. 3:7 katika mazingira