1 Basi kwa kuwa Kristo aliteswa katika mwili wake, ninyi nanyi jivikeni silaha ya nia ile ile; kwa maana yeye aliyeteswa katika mwili ameachana na dhambi.
Kusoma sura kamili 1 Pet. 4
Mtazamo 1 Pet. 4:1 katika mazingira