3 Maana wakati wa maisha yetu uliopita watosha kwa kutenda mapenzi ya Mataifa; kuenenda katika ufisadi, na tamaa, na ulevi, na karamu za ulafi, na vileo, na ibada ya sanamu isiyo halali;
Kusoma sura kamili 1 Pet. 4
Mtazamo 1 Pet. 4:3 katika mazingira