6 Maana kwa ajili hiyo hata hao waliokufa walihubiriwa Injili, ili kwamba wahukumiwe katika mwili kama wahukumiwavyo wanadamu; bali wawe hai katika roho kama Mungu alivyo hai.
Kusoma sura kamili 1 Pet. 4
Mtazamo 1 Pet. 4:6 katika mazingira