1 Pet. 5:10 SUV

10 Na Mungu wa neema yote, aliyewaita kuingia katika utukufu wake wa milele katika Kristo, mkiisha kuteswa kwa muda kidogo, yeye mwenyewe atawatengeneza, na kuwathibitisha, na kuwatia nguvu.

Kusoma sura kamili 1 Pet. 5

Mtazamo 1 Pet. 5:10 katika mazingira