1 Pet. 5:5 SUV

5 Vivyo hivyo ninyi vijana, watiini wazee. Naam, ninyi nyote jifungeni unyenyekevu, mpate kuhudumiana; kwa sababu Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema.

Kusoma sura kamili 1 Pet. 5

Mtazamo 1 Pet. 5:5 katika mazingira