1 The. 2:5 SUV

5 Maana hatukuwa na maneno ya kujipendekeza wakati wo wote, kama mjuavyo, wala maneno ya juujuu ya kuficha choyo; Mungu ni shahidi.

Kusoma sura kamili 1 The. 2

Mtazamo 1 The. 2:5 katika mazingira