1 The. 3:5 SUV

5 Kwa hiyo mimi nami nilipokuwa siwezi kuvumilia tena, nalituma mtu ili niijue imani yenu, asije yule mjaribu akawajaribu, na taabu yetu ikawa haina faida.

Kusoma sura kamili 1 The. 3

Mtazamo 1 The. 3:5 katika mazingira