1 The. 4:1 SUV

1 Iliyobaki, ndugu, tunakusihini na kuwaonya kwamba mwenende katika Bwana Yesu; kama mlivyopokea kwetu jinsi iwapasavyo kuenenda na kumpendeza Mungu, kama nanyi mnavyoenenda, vivyo hivyo mpate kuzidi sana.

Kusoma sura kamili 1 The. 4

Mtazamo 1 The. 4:1 katika mazingira