1 Tim. 1:13 SUV

13 ingawa hapo kwanza nalikuwa mtukanaji, mwenye kuudhi watu, mwenye jeuri, lakini nalipata rehema kwa kuwa nalitenda hivyo kwa ujinga, na kwa kutokuwa na imani.

Kusoma sura kamili 1 Tim. 1

Mtazamo 1 Tim. 1:13 katika mazingira