1 Tim. 2:9 SUV

9 Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;

Kusoma sura kamili 1 Tim. 2

Mtazamo 1 Tim. 2:9 katika mazingira